Issa Daudi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 289
- 20
Haya bahati nyingine hii,hamia kasulu nije maswa.idara ya sekondari
mimi mwlm wa shule ya sekondari handeni mkoa wa tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje manispaa ya tanga mimi niende manispaa ya moshi. Nina mwaka mmoja kazin nina tsd na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas