WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl JUDITH idara (msingi) yupo KILINDI-TANGA anataka mwl wa kubadilishana nae kutoka KOROGWE-TANGA au WILAYA MOSHI au HAI
no0684761513 au 0767428882.
 
Njoo Magu Mwanza/ Msingi,mimi nije Kibaha, Mkuranga,Morogoro, Bagamoyo au Dar. twanga 0682 279435
 
Nyie walim narudia tena mnaweka matangazo mkitumiwa ujumbe hamjibu.ni aina gan ya walimu nyie?
 
Mwl idara sec yupo halimashauri ya BUTIAMA-MUSOMA anahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka eidha ARUSHA,MANYARA,SINGIDA au DODOMA no 0768565955/0756231236
 
WADAU MSIKATEE TAMAA WATU WENGI WANAFANIKIWA KUPITIA HUMU MIMI WENGI WALIOFANIKIWA NAWAJUA NIKIWEPO MIMI MWENYEWE KWA KUPITIA PAGE HII YA jf NIMEMPATA MWL YEYE AKATOKA TANGA-KILINDI AKAJA RUVUMA-MBINGA mimi KWA SASA NIPO TANGA.
Hivyo nawashauri msikate tamaa kutupia matangazo yenu humu ndani kama hauwezi kuweka tangazo au umepata mtu wa kubadilisha nae na hujui utaratibu nitafute kwa kupitia na 0756231236/0689270867 nitakusaidia.
 
Mwl MARIAM idara SEC yupo HALIMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha IRINGA au NJOMBE-MAKAMBAKO.
Na 0766841280
au
0756231236.
 
Mwl REGNA yupo HALIMASHAURI YA WILAYA SIMANJARO idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka ARUSHA au KIBAHA-PWANI no 0763706220
0756231236
 
Back
Top Bottom