WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jamani chonde chonde nahitaji wa kubadilishana nae hata kama ni wilaya Gairo aje meatu-SIMIYU(BARIADI)
 
Kwa Mwl Anayetaka Kuja Kufundisha Sekondari Manispaa Ya Singida Mi Niende Kufundisha Mbeya Mjini Au Tukuyu
 
mwalimu kutoka arusha mjini anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi. mkoa wa dar es salaaam.wilaya ya kinondoni.temeke au ilala.asanteni..if one is serious here is the contact 0714 967381
 
Mwl idara ya msingi anaetaka kuja sengerema kutoka wilaya yeyote mikoa ya Tanga/pwani/kilimanjaro/ Arusha anitafute kwa namba 0767 864898.
 
Mwalimu yupo pangani Tanga anatafuta mwalimu idara ya msingi wa kubadilishana nae kutoka wilaya yeyote mkoa wa Iringa kama upo tayari mi PM.
 
Nani aje meatu? Mi naenda wilaya yoyote ila isiwe kishapu, kondoa,na ngorongoro my # 0719744900
 
mwalimu kutoka arusha mjini anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi. mkoa wa dar es salaaam.wilaya ya kinondoni.temeke au ilala.asanteni..if one is serious here is the contact 0714 967381

Mi ni mwalim niko wilaya ya Butiama,Mkoa wa Mara nahitaji kuja Arusha.
 
natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo, mimi nipo

wilaya ya moshi vijijin, nataka kuhamia wilaya ya bukoba vijijin, misenyi au manispaa ya bukoba-0752 788 444
 
Mwl idara ya msingi anaetaka kuja sengerema kutoka wilaya yoyote mikoa ya Tanga/pwani/kilimanjaro/morogoro ani tafute kwa namba 0767 864898.
 
Mwalim idara ya msingi anaetaka kuja
sengerema (sipo mbali sana na halmashauri) kutoka wilaya yoyote mikoa ya
Tanga/pwani/kilimanjaro/morogoro ani
tafute kwa namba 0767 864898
 
Back
Top Bottom