WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl wa sek aliyeko mbinga,songea v au mjini, namtumbo aende rorya ndugu yangu aje uliko.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Muda wa mwisho wa kupeleka barua mkoani kwa ajili ya uamisho wa mwezi wa Disemba ni lini?
 
Mi mwl Sec. Nipo wilaya ya hai (bomang'ombe) natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mwanza jiji, ilemela au nyamagana. Wasiliana nami: 0763943241
 
HAI-MWANZA. Mi mwl Sec. Nipo wilaya ya hai (bomang'ombe) natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mwanza jiji, ilemela au nyamagana. Wasiliana nami: 0763943241.
 
Natafuta Mwl idara ya msingi anaetaka kuja
sengerema kutoka wilaya yoyote mikoa ya
Tanga/pwani/kilimanjaro/morogoro ani
tafute kwa namba 0767 864898
 
Mi nipo Singida,sekondari nahitaji kubadilishana na mwl. toka wilaya za mkoa wa mwanza; magu,nyamagana,ilemela,simiyu,Kwimba,Ngudu tu 6k UK.
Ukiwa crius ni-pm.
 
Natafut mwl wa kubadilishana nae idara ya msingi toka mkoa wa arusha,morogoro au kilimanjaro na yeye aje wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.
 
yuko msingi/sekondiri ,kama msing,miniko tabora igunga tuna weza tuka exchange
 
Nina ndugu yangu yupo Sengerema Idara ya Msingi kama kuna mtu yupo Singida Manispaa na angependa kwenda Sengerema antupie mawasiliano yake tuchekiane Ani PM au ancheki kwa 0717078618
 
Natafuta Mwl idara ya msingi anaetaka kuja
sengerema mkoa wa mwanza kutoka wilaya yoyote mikoa ya
Tanga/pwani/kilimanjaro/morogoro ani
tafute kwa namba 0767 864898.

Eee Mwenyezi MUNGU sikia kilio changu.
 
Mwalimu idara ya msingi mkoa wa Tanga anatafuta mwalim wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka kilimanjaro au Arusha kwa anae hitaji ani PM nikupe namba zake.
 
Back
Top Bottom