Acha kudeka wewe, kukaa karibu na nyumbani ndo nini? We utakufa ungali fukara kwa mawazo hayo ya kitoto eti 'nyumbani' maana hutanunua hata stuli umri unaenda. Kama kila mtu angetaka kufanya kazi mkoani kwake hali ingekuwaje. Kaa hukohuko mbea lima so kwenda kucheza bao na wakwere wenzako. Watu wa pwani wavv kupindukia. Kama ungetoa sababu yenye mashiko ningekupa njia ya kufanya ila kama sababu ndo hiyo nasema 'NO'
Mwaya utapata sema utachelewa,ila komaa maisha popote.
JAMANI NDUGU YENU KTK UTUMISHI ANATAFUTA mwl WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA
TANGA,KILIMANJARO AU MOROGORO aje SINGIDA.
0756806493 au 0756231236.
Mi niko Shinyanga Manispaa natafuta wa kubadilishana naye Arusha, Meru au Arusha vijijini kama uko interested niPM