MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI WILAYA YA ROMBO MKOA WA KILIMANJARO, NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE ANETOKEA MOROGORO, TANGA MJINI, NA MAENEO YOTE YA MKOA WA PWANI, SHULE IPO JIRANI NA BARABARA NA UDUMA NYINGINE ZA AFYA INAITWA MEMA SEKONDARI JIRANI NA MAKALEMA SEKONDARI. KWA ALIYE TAYARI TUWASILIANE NUMBER ZANGU.
0714829862
Email; [email protected]
ewe mwalimu(sekondari),je unataka kuongeza kipato chako uondokane na utegemezi wa mshahara duni wa ualimu...?...lushoto panakufaa,mzunguko wa hela ni mkubwa, ardhi yenye rutuba ipo,maji yanayo sapoti irrigation yapo kila zao linakubali, nijulishe kama uko morogoro au bagamoyo na unataka kuhamia lushoto.
acha uongo wewe hebu taja namba zako hapa fastafasta
mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya
Njoo singida,usogee!
posibo,nimehama toka shinyanga to kinondon bila hata kuripot shinyanga,nilibadilishana na mtu
Yupo tayari kuja Simanjiro?
Vipi ndugu yangu huwezi kuja manispaa ya kigoma mjini, mi nataka nije moro ila hapa manispaa kuna mtu anataka kuhamia kutokea kasulu,tubadilishaneMi nipo manispaa ya morogoro nataka kwenda kasulu kigoma
Mi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.
njoo shinyanga bas