WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nahitaji mwl wa shule ya msingi wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa Geita na Mwanza aje Simanjiro / Arusha.
0715794977 / 0768553376
 
Nahitaji mwl wa sekondari wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa Shinyanga, Simiyu, Geita na Mwanza aje Simanjiro / Arusha.
0715794977 / 0768553376
 
Kuna ndugu yangu yuko TANGA(ELIMU MSINGI) sijui wilaya gani ila anataka aende RUVUMA, MBEYA au PWANI. Aliyeko tayari aniPM walimu wangu. Nitawapatia mawasiliano yake.

mimi nipo ruvuma bect ila nishapa m2 ila ninandugu yangu pia anataka kuja t.a xo nitafute kwenye na hii 0756231236 zen nitakuunganisha nae.
 
yeyote anaetaka kuhamia kikaz elimu sekondar mji wa masasi akitokea iringa,kyela,rungwe,mufind,mboz,mbeya. tafadhar nipm au tumia 0783040506.
 
Mimi mwalimu wa sekondari mpanda wasichana (mpanda girls) niko halmashauri ya mji mpanda mkoa wa katavi, huku kwetu saana, atakaekuwa tayari kubadilishana nitamgawia na heka moja ya ardhi ambayo ni kilometa 7 kutoka centre na ni 2km kutoka mji unapoishia. tuwasiliane kama utapenda eneo hili ambalo lina fursa nyingi kwa wageni kuliko sisi wenyeji.
 
Mimi
ni mwalimu wa shule ya msingi Mgulani Manispaa ya Temeke. Natafuta
Mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Wilaya ya Kinondoni. Yeye aje Temeke
mie niende Kinondoni. Shule ipo pazur karibu na uwanja wa taifa. Chuo
cha duce. Jkt. Yaan pazur aise. Kwenda kariakoo au posta dk 10 tu. Ni Pm au piga
0715700140. 0768867593. 0659641623. 0789762094
 
ukisoma hii mtaarifu na mwenzio
 
mwlim msingi toka shinyanga anaitaji kuja Arusha,au mikoa ya karibu na Arusha,kama uko tayari ni tafute,No= 0712872378
 
Mimi mwalimu wa sekondari mpanda wasichana (mpanda girls) niko halmashauri ya mji mpanda mkoa wa katavi, huku kwetu saana, atakaekuwa tayari kubadilishana nitamgawia na heka moja ya ardhi ambayo ni kilometa 7 kutoka centre na ni 2km kutoka mji unapoishia. tuwasiliane kama utapenda eneo hili ambalo lina fursa nyingi kwa wageni kuliko sisi wenyeji.

kuna watu wanajua siasa humu,,,hizo fursa ziwe kwa wageni tu???
 
Ndugu yangu wa Sekondari Moshi mjini anataka mwalimu wa kubadilishana naye aliyeko Kilosa(Morogoro).Mawasiliano 0782091632.
 
Wewe ni Mwalimu
(Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha
kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu
mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na
JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako
na usiri zaidi.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

kuna ndugu yetu yupo moshi anatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi,kutoka dodoma tu,Yeye yupo elimu secondari
 
Wamatengo, wangoni, wanyasa na wayao mliopo Rungwe njoon mbinga mlime kahawa me nimeshazoea matoki jamani mwe! nibeep au nitext through 0764122433/0714672275 tufanye mpango tubadilishane.
 
kuna ndugu yetu yupo moshi anatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi,kutoka dodoma tu,Yeye yupo elimu secondari

mwambie aje dodoma kondoa,chap tupia namba zako nikupe mtu fasta mwl wangu uende karibu na UDOM
 
Back
Top Bottom