Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 413
- 178
Njoo biharamulo kutoka dom mjini.
Kigoma siku hizi ipo kibaha
mwe mbi koghi?
mkuu me nko mwnz jiji naweza
badilishana na wewe kama utaninunulia bandeji box 10, plasta box 50 na
unipe sh.10Million kwa ajili ya RISK ALLOWANCE, pia usisahau kuninunulia
PANGA la kwenda nalo shule.
nahitaji wa kubadilishana vituo vya kaz
njoo kisiwa cha utalii cha Mafia ambapo ni karibu sana na mtwara.
Biharamulo njoo nije dom
Mimi nipo Simanjiro wilayani, aliyeko Mwanza jiji, Morogoro mjini, Geita mjini au Kagera (Bukoba mjini) tuwasiliane kupitia 0713173873
unataka shilingi ngapi? Uende kigoma mjiniNarudia nipo dar kwa aliye tayari anipe mshiko nipotayar kwenda mkoa wowote ili mradi nishike noti,kwani maisha ni popote dar hakuna ishu bhana Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Nahitaji mwl wa shule ya msingi wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa Geita na Mwanza aje Simanjiro / Arusha.
0715794977 / 0768553376