inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
mimi ni mwl wa se nipi iifakara.nataka wa kubadilishana naye kutoka mbeyya mjini
Mwl. (sekondari) niko tunduru, kwa yeyote aliyetayari kuja tunduru. 0779688362/0787507351.
Mi nipo manispaa ya morogoro nataka kwenda kasulu kigoma
Mi nipo mtwara-masasi,mwl wa secondary nataka kwenda songea au namtumbo contact 0783149634,0753149634,0712808802.
Njoo mtwara.
Uje Singida Manispaa Mi Nije Mbeya, Nipo Sekondari, Karibu Sana Sana Kwa Aliye Muhitaji
mimi ni mwl wa se nipi iifakara.nataka wa kubadilishana naye kutoka mbeyya mjini
njo mpwapwa dodoma
Nipo Dar nataka nihamie kwa Katavi mzee, fanya mambo basi!! Nasikia kule walimu wanafavour nyingi sana.
nahitaji wa kubadilishana vituo vya kaz
nipo mwanza-ukerewe nataka kwenda manyara.mwl sec( 0787429094)