WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ndugu wana JF, naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine. Msaada tafadhali.
 
nipo Manyoni singida mwl. Idala ya sekondari nahitaji kwenda Ilemela, Nyamagana, Geita au Musoma manispaa
 
nipo Manyoni singida mwl. Idala ya sekondari nahitaji kwenda Ilemela, Nyamagana, Geita au Musoma manispaa anae taka anitext kwenye 0753868912
 
Nipo Kavifuti Sumbawanga, nataka kuhamia Ilala manispaa...
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae idara ya msingi kutoka mkoa wa arusha,longido.morogoro au kilimanjaro yeye aje Bunda mkoa wa Mara.kama uko tayar ni PM
 
Mwalimu sekondary shahada halmashauri ya wilaya ya same mjini nahitaji mwalimu wa kubadilishana kutoka dar wilaya yoyote cont 0712131288
 
mimi ni mwalimu katika wilaya ya uvinza, kigoma (IDARA YA MSINGI) natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka wilaya ya IRAMBA, SINGIDA VIJIJINI au MANISPAA, SHINYANGA VIJIJINI au MANISPAA, KAHAMA, MOROGORO VIJIJINI au MANISPAA, GAIRO, PIA HATA DAR ES SALAAM, pia kama kutakuwa na mtu sehem yoyote ile ambayo sijaitaja, tuwasiliane ili tujue tunafanyaje,
MAWASILIANO: 0764059873, 0784156815:

MUNGU BARIKI MIPANGO YANGU
 
Kha! You are to general my friend. Mwl. umenifurahisha sana. Hapa umeonesha vituo zaidi ya 10 tena ukaongeza na sehemu yoyote hile ambayo ujaitaja 'wajitokeze tu'!. Walimu kuweni makini bwana muwe specific.
 
Back
Top Bottom