WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ukiona hivyo mtu anahitaji kutoka huko alipo, ndio shida kubwa, kuwa too general na kuwa specific ni maamuzi ya mtu, mi nadhani kila mtu anakuwa na chaguo zaidi ya moja ya sehemu ya kuishi, ndivyo ilivyo kwa hiyo post, mi nadhani we sio mwalimu, so piga kimya, we are not here to judge, we are here to help each other
 
Ndugu yangu wa sekondari yupo Moshi mjini anatafuta mwalimu wa kubadilishana aliyeko Morogoro,Kilosa. Wasiliana naye kwa 0756693681,0653150164.
 
Ndugu yangu wa sekondari Moshi mjini anataka kuhamia Morogoro,Kilosa.Wasiliana naye kwa 0756693681,0653150164.
 
Ndugu yangu Mwl wa Sekondari wilaya Sengerema natafuta mtu wa kubadilishana toka mkoa wa Kilimanjaro au Arusha wilaya yotote

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ndugu wana JF, naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine. Msaada tafadhali.

unataka kubadilisha kituo kutoka wapi kwenda wapi na idara gan msing au secondar?
 
NDUGU YENU YUPO SINGIDA Mwl msingi ANATAKA KWENDA ARUSHA,KILIMANJARO,TANGA AU KILIMANJARO popote. Call to 0756231236
 
Nipo ruvuma wilaya ya tunduru shule frakweston,sekondari,nina penda kwenda arusha,moshi
 
Jamani nipo tunduru ruvuma natafuta wakubadilishana nae,nataka kujua arusha,moshi, tanga, morogoro,aliyetayari ani pm plssssssss ppl,huku nataka kurejea karibu na home nipo mbali mo na home
 
Kwa mwl wa sekondari aliyeko Kilosa na anapenda Moshi mjini. Piga 0764074642 ili mbadilishane.
 
Mwalimu wa Sekondari kutoka KILOSA anayependa kwenda kufanyia kazi MOSHI MJINI(MANISPAA).Piga 0653150164/0764074642.
 
Back
Top Bottom