WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
asante wadau kwa ushauri,nw nipo private and they pay well,but nahitaji kwenda serikalini.
Msingida nimeku PM,nashukuru
 
26km....fair 2500tsh...unfair kabisaaa!

yani wewe mwalimu alafu kujieleza ujui kweli watoto watakuelewa darasani sema miye nipo tabora sehemu fulani shule furani, nataka kwenda mkoa fulani, siyo barabara ya kwenda ulambao sijui nini , wewe unafikilia uko unapajua wewe tu wewe andika upo shule gani eneo gani la tabora maana kutaja kiwango cha nauli si kigezo haya anza kujieleza upya tukuelewe.
 
Sorry me natafuta wa kubadilishana nae aje dodoma mi niende mwanza kama unaweza niunganisha nae get me via 0716082928
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, nimepangiwa bukoba vijijini. Nipo dar
 
MIMI NI MWALIMU WA AJIRA MPYA. NIMEPANGIWA BUKOBA VIJIJINI(SHAHADA). NATAKA KUFANYA KAZI MKOA WA PWANI, MOROGORO AU MTWARA. Mawasiliano 0766216814.
 
I am inspired sana vijana mnavyoenda kuwakilisha countryside... Kweli maisha ni popote..

Kila la heri makamanda, mkachape kazi tuibadilishe hii nchi
 
umepangwa kwenye nini?
hupaswi kulaumiwa hata kidogo, tatizo ni mtaala
 
Wadau mi nimepangwa dodoma so natafuta mtu aliyepangwa mwanza tubadilishane, get me via 0756641594/0716082928
 
Mimi pia natafuta mwl wa sec wa kubadilishana anae wilaya yoyote mikoa ya ya moro,mbeya,tanga,kilimanjaro,pwani iringa na dodoma mjn,mimi niko kiteto manyara.Ahsanteni
Tumekusoma Dr...kila la heri
 
Sasa mmepata kazi mnaanza mbwembwe za kutaka kuhama. Kwan tayari umeripoti uliko pangiwa?

si mbwembwe mkuu,huwezi jua grounds za maisha ya mtu mpk anafikia kuomba kubadilishwa,hasa ukizingatia kupangiwa huko hakuzingatii maombi/mapendeleo ya anaepangiwa.
 
Kuna mwalimu wa daraja la 3A, mwajiriwa wa wilaya ya ULANGA/MAHENGE, anataka kuhamia TANDAHIMBA, hivyo kama kuna mwalimu aliyepo huko na anataka kuhamia Mahenge, Awasiliane naye kwa 0788769910 au 0756022818.
 
Back
Top Bottom