Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 139
- 41
mimi nipo tabora nataka kufanya kazi nje na tabora kwa sababu mi mzaliwa wa mkoa huu hivyo nataka nifanye kazi nje ya mkoa wangu nipo tabora vijijini km 26 kutoka tabora mjini,usafiri wa uhakika upo lipo basi nauli sh 2500 hadi tabora mjini.
Kwa mwenyeji wa tabora nipo barabarani kuelekea ulambo, nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri.
Kwa mwenyeji wa tabora nipo barabarani kuelekea ulambo, nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri.