WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wadau mimi ni mwl mpya nimepangiwa kuripoti wilaya ya lushoto Tanga. Ninatafuta mwl yeyote (degree holder) aliyepangwa wilaya ya kasulu au kibondo mkoani kigoma tubadilishane naye aende lushoto mimi nirudi kibondo au kasulu. Mawasiliano 0758290626
 
Hivi na wewe ni mwalimu? Unafahamu neno kupangwa linatumikaje kwenye lugha ya kiswahili? Kila lakheri mkuu we nenda tu ukaandae wanafunzi wanaomaliza std 7 bila kujuwa kuandika.
 
mimi nipo tabora nataka kufanya kazi nje na tabora kwa sababu mi mzaliwa wa mkoa huu hivyo nataka nifa
nye kazi nje ya mkoa wangu nipo tabora vijijini km 26 kutoka tabora mjini,usafiri wa uhakika upo lipo basi nauli sh 2500 hadi tabora mjini.
kwa mwenyeji wa tabora nipo barabarani kuelekea ulambo.
nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri.

mkuu ebu nipe location ya ofisi za halmashauri ya Tabora vijijin, shem wako kapangiwa huko mi nmewah kuishi tabora mjini kidogo wakati nasoma Milambo.
 
mkuu ebu nipe location ya ofisi za halmashauri ya Tabora vijijin, shem wako kapangiwa huko mi nmewah kuishi tabora mjini kidogo wakati nasoma Milambo.

ofisi za tbr vijijini zipo barabara ya tbr-mwanza umbali wa km 55 kutoka tabora mjin ila shughuli nyingi zinafanyikia mjini.kijiji cha isikizya.mabama,isikizya,na ilolangulu hizi ndio kata nzuri ktk wilaya ya tbr vijijini.
 
yani wewe mwalimu alafu kujieleza ujui kweli watoto watakuelewa darasani sema miye nipo tabora sehemu fulani shule furani, nataka kwenda mkoa fulani, siyo barabara ya kwenda ulambao sijui nini , wewe unafikilia uko unapajua wewe tu wewe andika upo shule gani eneo gani la tabora maana kutaja kiwango cha nauli si kigezo haya anza kujieleza upya tukuelewe.

Wewe nawe huna lolote..ulichokiandika hakistahili kutumika kumsahihisha mwingine.
 
Mi nipo Mwanza, ningependa kujua Dodoma umepangwa wilaya gani, mi nimepangwa Mwanza wilaya ya Magu. Nitafute kwa cm namba 0752796133.
 
naitwa steven msafiri. nimepangwa mara musoma(v) natafuta mwalimu wa kubadilishana nae mkoa kama umepangwa tanga, kilimanjaro, arusha na morogoro, namba zangu ni 0785508515/ naomba sana tusaidiane walimu wenzangu.
 
Mimi ni mwalimu ambaye nafanya kazi mkoa wa njombe halimashauri ya mji natafuta mtu wa kubadilishana naye toka mkoa wa mbeya -mbeya jiji. mawasiliano-0764600900
 
nimepangwa kufundisha Bariadi naomba tubadilishane na yeyote aliyepangwa wilaya yeyote mikoa ya Mbeya, iringa na Rukwa. 0767085589
 
ofisi za tbr vijijini zipo barabara ya tbr-mwanza umbali wa km 55 kutoka tabora mjin ila shughuli nyingi zinafanyikia mjini.kijiji cha isikizya.mabama,isikizya,na ilolangulu hizi ndio kata nzuri ktk wilaya ya tbr vijijini.

asante mkuu Ben, nmechukua no. Yako ntakuchek kwa info zaid, Larusai mux
 
Back
Top Bottom