WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

ndg yangu baki hukohuko moro town mji wenye bahari ya mindu hewa safi kutoka milima ya uruguru, mabo yetu pale chipkizi, mengine pale nyota4, au ze club uje huku kwenye joto, vumbi, mabomu ya mbagara hayakuisha alafu unapajua dondwe nayo ni temeke nauli kama 5,000 ukija mjini , ushauli hamia kinore,matombo , ni afadhali ukawa mkulima kiliko kuja huku
Ongeza na KAHUMBA, teh teh teh, kumbe hawa wote ni walimu eh? ndo maana wanaleta nyuzi za akina plato na Montessori.
 
anaetaka kuja hedaru-mkombozi sekondar mi nije arusha
 
Mwalimu wa sekondari njo liwale mie nje morogoro mjini, mwanza au mbeya mjini. Ni PM
 
Kama kuna mwalimu yeyote anahitaji kuja Lindi wilaya ya Liwale namba tubadirishane nae ila awe DSM, MWANZA CITY, MBEYA CITY AU MOROGORO MJINI. ni PM
 
Mwalimu, ni kubadilishana au kubadirishana? Neno sahihi mzizi wake ni kitenzi 'badili'. Mkuu kama mwalimu hulijui hilo wanafunzi itakuwaje... Enzi zetu mwalimu asiyejua vizuri lugha alikuwa hapewi kazi ya kufundisha! Hakuna Chuo chochote ambacho kingempokea mwalimu mwanafunzi kusomea taaluma hiyo tukufu kama hujui lugha vizuri, na kwa hili ninamaanisha kiingereza na kiswahili. Lazima uwe 'excellent' ili ukubalike kufundisha. Kweli tuna safari ndefu!
 
Hakika tunahitaji watu Kama wewe! Kila Jema mkuu na Asante Sana kwa msaada wa kielimu ulioutoa kwa huyu mwalimu.

kuna bodaboda moja hapa mtaani kwetu imeandikwa "TATIZO NECTA 2012"
 
Mimi ni mwl wa sekondari nipo Dom-Kondoa,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka wilaya yoyote ya Tabora ili aje Kondoa mi niende Tabora.!
 
Mwalimu, ni kubadilishana au kubadirishana? Neno sahihi mzizi wake ni kitenzi 'badili'. Mkuu kama mwalimu hulijui hilo wanafunzi itakuwaje... Enzi zetu mwalimu asiyejua vizuri lugha alikuwa hapewi kazi ya kufundisha! Hakuna Chuo chochote ambacho kingempokea mwalimu mwanafunzi kusomea taaluma hiyo tukufu kama hujui lugha vizuri, na kwa hili ninamaanisha kiingereza na kiswahili. Lazima uwe 'excellent' ili ukubalike kufundisha. Kweli tuna safari ndefu!

mkuu sio siri hapo umenikosha teh teh ndo maana watoto we2 hawajui hata kuandika a
 
Mi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.

ushapata mwl wa kubadilishana naye mi niko gairo morogoro
 
Back
Top Bottom