Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
My friend anahitaj mtu wa kubadilishana na mtu yeye yupo wilaya ya chunya,anahitaj kwenda SONGEA, mawasiliano 0717029296
me mwl wa primary natafuta mwl wakubadilishana nae toka manispaa ya mwanza morogoro au kibaha.me nipo shinyanga
ewe MWALIMU(sekondari),Je Unataka Kuongeza kipato chako uondokane na utegemezi wa mshahara duni wa ualimu...?...LUSHOTO panakufaa,mzunguko wa hela ni mkubwa, ardhi yenye rutuba ipo,maji yanayo sapoti irrigation yapo kila zao linakubali, nijulishe kama uko morogoro au bagamoyo na unataka KUHAMIA lushoto.
NiPM mkuu
nipo singida (makiungu) nataka kuhamia arusha mjini
kuna mwalim toka mahenge Morogoro,,kama utafeel PM twende sawaMi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.
Mi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.
me nipo korogwe tanga nataka kwenda morogoro
Npo mbeya vjjn, nataka kwenda kongwa-dodoma
mkuu kwa mimi siwezi kuja huko bt weka contact zako naweza kupata mwalimu anaetaka kuja huko nikakuunganisha nae.
My friend anahitaj mtu wa kubadilishana na mtu yeye yupo wilaya ya chunya,anahitaj kwenda SONGEA, mawasiliano 0717029296
NDUGU YENU YUPO SINGIDA ANATAFUTA Mwl MSINGI KUTOKA SEHEMU YOYOTE YA KILIMANJARO,TANGA au MOROGORO.
0756231236 au 0756806493.