hahahahaha. JalelenoWamatengo, wangoni,
wanyasa na wayao mliopo Rungwe njoon mbinga mlime kahawa me nimeshazoea
matoki jamani mwe! nibeep au nitext through 0764122433/0714672275
tufanye mpango tubadilishane.
Anayetaka kuja morogoro manispaa mi niende kibaha mji,nafundisha sekondari
mi nipo dar natafuta mtu wa kigoma au sumbawanga tubadilishane nae. mwl secondary
mi ni mwalimu wa sekondar npo moshi nataka morogoro mjini
mwambie aje dodoma
kondoa,chap tupia namba zako nikupe mtu fasta mwl wangu uende karibu na
UDOM
hahahahaha. Jaleleno
Anayetakuja Nachingwea jamani shule iko hapahapa katikati ya haka kamji Inaitwa Nambambo me niende Morogoro
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi niko simanjiro - manyara nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka halmashauri ya mji geita au halmashauri ya wilaya geita. 0715794977.
kuna ndugu yangu yupo kigoma mjini anataka kuhamia morogoro. 0789762094
mwambie aje dodoma
kondoa,chap tupia namba zako nikupe mtu fasta mwl wangu uende karibu na
UDOM