WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
hata mimi nilitumia pesa nyingi tu kupata hapa Dsm
nadhani adabu ushike kwanza wewe! Then ndo uje na hyo habri

its ok kaka,.,take it easy,, shit happens s'times,, BE COOL and thanks for your concern mkuu b'se atleast u offered s'thing.. Pamoja mdau
 
Wakuu,mimi ni mwalimu wa sekondari niko wilaya ya masasi mkoa wa mtwara natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka mikoa ya pwani au morogoro ambaye yuko tayari tuwasiliane 0762398199
 
Poleni sana walimu,kila siku nyie tu kutafuta watu wa kubadilishana.Wadau,mbali na walimu sector nyingine ni hivyo hivyo?
 
komesha ya hao ni kuwajibu vzur tu ndo dawa.Anakuwa kama mtoto wa darasa la pili.
 
Mwalimu wa idara ya sekondari aliyeko Kibaha au Bagamoyo anayetaka kuja wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara tuwasiliane kwa namba 0767229161.
 
Ni mwalimu wa sekondari kutoka wilaya ya MBINGA, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka wilaya zifuatazo
1. RUNGWE***
2. KYELA
3. MBEYA VIJIJINI
4. MBEYA MJINI
Wilaya yenye STAR 3 inapewa kipaumbele zaidi.
 
sio lazima wewe uende huku unaweza kuwatumia washkaji wako wa huko wakakufanyia mambo sio kila mwalimu amejiunga jf ila kila mwalimu lazima apitie idara ya elimu kwenye halimashaur husika.mim nipo mbinga kuna stuff member wangu aliweka matangazo huko mbeya mwez wa 3 akapata mtu na wakafanya mchakato,mambo safi jina limeshatoka TAMISEMI anasubir kibali tu aondoke.kama kweli upo serious kaweke tangazo
 
Mimi nipo masasi mjini anayetaka tubadilishane kituo cha kazi kwa wilaya za songea maniispaa,songea vijijini, namtumbo,mbinga tuwasiliane 0786189981
 
sasa ni busara kumsaidia huyo bwana wa mtwara kabla yetu kuweka matatizo yetu pia jf ni eneo la msaada twaamini ebu tutende yatupasayo
 
Kazi unayo hama hiyo taaluma mkuu...
Huyu jamaa alishawahi kuniuzia smarphone kmbe ameshakuwa mwl.....jamaa naye anamshauri ahame taaluma sasa aende wapi!?
 
Back
Top Bottom