WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwalimu wa Shule ya Msingi. anayetaka kuhamia mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli kutoka mkoa wa Kilimanjaro wilaya yoyote tuwasiliane. 0755883313
 
mimi nimwalimu level ya shahada natafuta mwalimu wa kubadilishana toka Tunduru kwe nda mbeya wilaya yoyote tuwasiliane kwa namba. 0755806477
 
Sa We Unafundsha Wap?manake Ndo Nawaunganshaga Watu Kama We Unataka Kuja Tunduru,
 
mimi nimwalimu level ya shahada natafuta mwalimu wa kubadilishana toka Tunduru kwe nda mbeya wilaya yoyote tuwasiliane kwa namba. 0755806477

Kubadilishana nae mawazo au notes mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanapobadilishana Hawaangalii Masomo,mbona Tunauliza Maswali Yacyo Na Tija? Uko Masasi Wilaya Gan?na Donge Nono La Kubadlishana Umeandaa Kiac Gan?manake Masasi Njaa Kweli
 
Wana JF,
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji Masasi natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka Manispaa ya Songea ,Songea vijijini , Namtumbo.
Aliyetayari tuwasiliane kwa no 0786 189 981,07180990733
 
Mwalimu wa idara ya
sekondari aliyeko Kibaha au Bagamoyo anayetaka kuja wilaya ya Masasi
Mkoa wa Mtwara tuwasiliane kwa namba 0767229161.

una shilingi ngapi nikupe mtu anayetaka kuja masasi?yeye kwao Mwena,mbele kidogo ya ndanda,pale kwenye kiwanda cha maji,yupo kibaha.Tangaza dau uje mujini.
 
Kama sababu ni ya msingi hivyo atafute njia nyingine mfano afike katika mikoa aliyoitaja aone kama nafasi zipo (ni wazi walimu hawatoshi hasa nje ya Dar) then aombe uhamisho toka TAMISEMI. Naamini swala kama ni la kiukweli uhamisho unawezekana si lazima tu kuwe na kubadilishana.
 
Na Hapo Tunduru Afundishe nani? baki hapo hapo TUNDURU Uisaidie Jamii Ambayo Imekusomesha Kwa Kodi Zao!
 
Hujaeleweka Mkuu! Yani Wewe Unataka Kwenda Songea Mjini Au Unataka Kutoka Songea Mjini Uende Kijijini?
 
Kama sababu ni ya msingi hivyo atafute njia nyingine mfano afike katika mikoa aliyoitaja aone kama nafasi zipo (ni wazi walimu hawatoshi hasa nje ya Dar) then aombe uhamisho toka TAMISEMI. Naamini swala kama ni la kiukweli uhamisho unawezekana si lazima tu kuwe na kubadilishana.

ni kweli usemacho mkuu.. Uhalisia ni kwamba mwl alishapitishiwa barua zake akatafute nafasi pa kuhamia toka june2012 ..aliomba kinondoni afisa utumishi alitoa nje cold... na temeke akachezea siasa, till this july2013 hatma haujulikani..na anaendelea kuumia.
That is why anatafuta wa kubadilishana, huku akijiandaa kuomba tena na kubandika matangazo halmashauri husika . mathew2
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom