Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
njoo mbeya tukuyu nije lushoto.
spellan km vp njoo moro ni pm
njoo mbeya tukuyu nije lushoto.
Mwl wa seko njoo moro-gairo nije songea manispaa au vjjn. Upo tayar ni pm
ushapata mwl wa kubadilishana naye mi niko gairo morogoro
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Nipo manispaa ya ilala nipo tayari kuhamia mkoa wowote ila anayehitaji anipe mshiko
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Anayetaka kwenda Iringa Mufindi au Iringa vijijini toka manispaa ya Dodoma anipm.
mkuu njo newala ni karibu sana na tunduru.
Mwalimu idara ya sekondari, anayetaka kuja mbeya halmashauri ya Rungwe/Busokelo, niende tanga mjini/korogwe/muheza au Dodoma mjini. tuwasiliane hapa 0683436242/0765582366
ndugu mi nipo wilaya ya uvinza karibu na kasulu 0784156815 au 0764059873
Nataka kuhamia mwanza njini. Nipo hai kilimanjaro.