WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nipo kilimanjaro/rombo,,,,,,,,,,,,,nataka kuhamia kilimanjaro/manispaa au wilaya ya si
 
Njoo Manyoni mkuu ni karibu sana na Dodoma.
Wasiliana nami kwa 0753868912
 
Habari wadau wa elimu.Nafundisha kisw/eng ktk shule ya Jikomboe High School iliyopo Chato mjini-Geita..Nataka kwenda Sumbawanga mjini.Kama kuna aliyetayari tubadilishane anitafute kwa 0683913738.Nipigie baada ya muda wa kazi.BIG RESULTS NOW
 
Jamani anayetaka kubadilishana kituo cha kazi idara ya msingi mimi nipo masasi nataka kwenda songea au mbinga.mawasiliano namba 0687843542,mwl mkondya.
 
Kwa aliyeko Arusha,Babati,Monduli au Karatu anataka kwenda Kibondo kwa shule za msingi pale Kibondo mjini ni pm
 
Back
Top Bottom