Upo wapi?mi nipo
Jamani, mie ni mwalimu wa sekondari wilayani Ileje-Mbeya, naomba kwa mwalimu yeyote aliyeko Kibaha- Pwani anayetaka kurudi Ileje, ancheki kwenye 0655 38 45 90.
mnataka mjini kijijin afundishe nan?
du kwann uko ukutaki
Siyo kama sikutaki ila napenda niwe karibu na Nyumbani, kibaha ndo Nyumbani, huku kwangu mimi ni mbali sana hata nikipata tatzo linalonihtaj nifke Kibaha haraka nashndwa kufika kwa Muda.
Nahitaji mwl tubadilishane kituo cha kazi aje musoma mi niende lindi
Njoo musoma mkuu