Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Mimi nipo tayari kubadilishana na wewe!
ila mm nafanya kazi hapa jf chit chat uko tayari mpendwa
ila mm nafanya kazi hapa jf chit chat uko tayari mpendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa mbeya to Dar, nipo
ha ha ha,nadra sana kutokea hyo from Dar,jins raia wanavo hhusudu Dar!
Poa kaka kama utakuwa tayari mm niko powa, ww uko hukoupo tayari kwenda monduli?
Poa kaka kama utakuwa tayari mm niko powa, ww uko huko
monduli unaijua lakini?