Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
mimi nipo Sumbawanga Municipal,kwa anayehitaji toka mkoa au wilaya nyingine tofauti na SUMBAWANGA anitaarifu hata kama kijijini.
vipi handeni- Tanga unapenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nipo Sumbawanga Municipal,kwa anayehitaji toka mkoa au wilaya nyingine tofauti na SUMBAWANGA anitaarifu hata kama kijijini.
mimi nipo mwanza je unahitaji.

unafundisha sec au primary?
shule ya msingi
Nisawa na kuomba ubadilishane na mtu kwa bukta na suruali.
Yaani umtoe mtu dar aende mwanza? Mbona hicho ni kichekesho.

MEO atakuwa ni Mtaa Executive Officer hawa wanapatikana kwenye majiji na manispaa, na kwenye mamlaka za mij, vijijini wanaitwa VEO Village Executive Officers.anaweza kupata mimi nilishawakutnisha watu wa namna hii, wakabadilishana vituo vya kazi, inatokea sana kwa watu ambao wanakuwa wanafuata mke au mme,Niliowakutanisha mimi ilikuwa hivyo hivyo marafiki zangu wawili walikuwa wanahama vituo vya kazi mmoja alikuwa anahamia dsm na mwengine huku mkoani kama bahati wote wawil wake zao walikuwa ma MEO kwa hilo niliwaunganisha na uhamisho wao ukawa rahisi sana .