WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu wa sekondari ninaye fundisha wilayani mbozi-mbey natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kituo cha kazi,anaye fundisha Mbeya jiji au wilaya ya Mbalali-mbeya,no0764036606
 
Mimi ni mwalimu ninae fundisha sekondari mkoani morogoro_gairo natafuta mwalimu wakubadilishananae kituo chakazi ambaye anatokea mkoan mbeya wilaya ya mbozi\momba\kyela\lungwe\mbalali au mbeya v.0789599055
 
Crispin hebu, tuwasiliane kama tutaelewana, mimi nipo wilaya ya Rungwe, halmashauri ya Busokelo, Lufilyo high school. 0683436242
 
je wewe ni mwalimu uko dar unataka kuja jiji la mwanza, tafadhali tuwasiliana
 
MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI WILAYA YA ROMBO MKOA WA KILIMANJARO, NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE ANETOKEA MOROGORO, TANGA MJINI, NA MAENEO YOTE YA MKOA WA PWANI, SHULE IPO JIRANI NA BARABARA NA UDUMA NYINGINE ZA AFYA INAITWA MEMA SEKONDARI JIRANI NA MAKALEMA SEKONDARI. KWA ALIYE TAYARI TUWASILIANE NUMBER ZANGU.
0714829862
Email; ramadhaniahmadi97@yahoo.com
 
Crispin hebu, tuwasiliane kama tutaelewana, mimi nipo wilaya ya Rungwe, halmashauri ya Busokelo, Lufilyo high school. 0683436242

Vipi wilaya ya Mbinga mkoani ruvuma? i miss rungwe so much mya homeplace.
 
sasa kama huduma zote zipo unahama ili iweje? Mbona kutoka kilimanjaro hadi mikoa hiyo sio mbali?
 
eti unataka kuja jiji la mwanza!!! sema tu mwanza mjini inatosha, achana na hayo majina ya kisiasa, eti jiji
 
Ndugu!
Juzi kati nliweka hapa bandiko la ktafta mwl wa kubadilishana naye bahti nzuri nmempata na taratibu zimeshaanza.

Kwa sasa naweza kusema nmeshakuwa mzoefu na nmekuwa mizizi mipana! Xo kwa wale wenye nia ya kuhama au kubadiliaha kituo cha kazi naomba tuwasiliane. Nambie uko wapi na unataka kihamia/kubadilisha wapi. Hamna gharama yetote.
 
Mie nakushangaa,kwanini usije hapa Tarime maana wewe uko jiji la mwanza lakini hadi sasa hujapokea mshahara wako wa Julai. Sisi hapa Tarime kila tarehe 26 tunacheka na ATM. Isitoshe chakula ni kingi na matunda kibao tena kwa bei ya shambani. Kama vipi sema tubadilishane maana huko ndo kwetu. Tuwasiliane 0767278100
 
Maberere, mwenzio niko hapa Tarime huu ni mwaka wangu wa pili natafuta namna ya kufanya kazi jijini Mwanza. Hebu fanya la kufanya mkuu.
 
kwanini usitumie huo mtandao wako kupigania haki za walimu???????
(naira)
 
MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI WILAYA YA ROMBO KILIMANJARO, NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE ANAETOKEA DAR, MOROGORO, PWANI NA TANGA MJINI ALIE TAYALI TUWASILIANE KWA NAMBA
0714829862
Email;ramadhaniahmadi97@yahoo.com
 
Back
Top Bottom