WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo wilayani karagwe mkoani Kagera idara ya sekondari
Ninahitaji mtu wa kubadilishana naye kutoka wilaya za kahama na Geita.
Ni pm Kama upo tayali.
 
Nipo idara ya msingi UKEREWE -MWANZA, Natafuta mwl wa kubadilishana kutoka morogoro,manyara,dodoma,Arusha na Tanga wilaya yeyote.kwa mawasiliano zaidi 0755952559 /0716640094:
 
Nipo idara ya msingi UKEREWE -MWANZA, Natafuta mwl wa kubadilisha naye kutoka Dar es salaam na Pwani wilaya yoyote.kwa mawasiliano zaidi 0762633880/0756410737
 
mazee mbona sioni mrejesho kutoka kwa mwalimu yeyote ambae amefa nikiwa kupata uhamisho kupitia post zilizomo humu ndani? any way kama uko morogoro na unataka kuhamia lushoto usipate tabu mwalimu mwenzangu nijulishe tu nitakutafuta....!

singida vp? 0756231236
 
Nipo wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi idara ya sekondari naomba mwl. wa kubadilishana nae kutoka morogoro mjini, Dar, Mwanza jiji, Kahama, au Shinyanga. tuwasiliane kwa 0762426746, au [email protected]
 
Mimi ni mwl idara ya msingi natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka mkoa wa arusha,kilimanjaro au morogoro na yeye aje mkoa wa Mara wilaya ya Bunda.kwa mawasiliano 0787181565
 
Ni mwl idara ya msingi natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka Arusha wilaya yeyote ,kilimanjaro au morogoro yeye aje mkoa wa Mara wiliaya ya Bunda.mawasiliano 0787181565
 
Kwa mwl aliyeko kilolo, iringa, njombe, mbozi, tukuyu,rungwe,söngea au namtumbo njoo gairo mi nije uliko.
 
Mi ni mwl s/m wilaya ya meatu-simiyu (bariadi) natafuta wa kubadilishana nae! Wilaya za muheza,kilindi,handeni,kilolo,kilombero au mvomero
 
Back
Top Bottom