WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo gairo morogoro unakaribishwa ww mwl wa sek uliyeko mafinga,iringa, kilolo, njombe, makambako au Iringa vijjn. 0757021255
 
Anayetaka kuja mvomero(msingi) toka dar manispaa yeyote anijulishe
 
Niko Magu idara ya sec, kwa anayefundishia wilaya za mvomero, kilosa iringa manispaa, njombe mji, mbeya jiji ani pm
 
Idara sec nipo Ukerewe -Mwanza nataka kubadilishana na wa Singida Mjini.0714620133
 
nipo idara ya msingi halmashauri ya lindi vijijini jimbo la mtama nataka kuhamia tanga-lushoto kwa mwl.alie tayari anichek kwenye 0757142955.
 
Nipo Ukerewe-mwanza idara Sec natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka Mbeya mjin,mbeya vijijin,makambako,Iringa mjini,njombe mjini na morogoro mjini. Kwa yeyote aliyetayali 0762369619:
 
Mwalim idara ya msingi yupo shinyanga maswa anatafuta mwalim wa kubadilishana nae katika wilaya yoyote mkoa wa Tanga alietayari
Contact 0767864898 ni kuunganishe nae.
 
Nipo mvomero nataka kwenda dar manispaa yeyote (idara ya msingi)
 
Hivi kuna kufanikiwa kweli kwa huu utaratibu. maana mimepitia comment zote sidhani kama yupo alie fanikiwa.
 
Narudia nipo dar kwa aliye tayari anipe mshiko nipotayar kwenda mkoa wowote ili mradi nishike noti,kwani maisha ni popote dar hakuna ishu bhana

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
nitafute 0757241709
 
Back
Top Bottom