WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums



mimi ni mwalimu wa sekondari (degree) nipo Dodoma-kondoa kwa anayetaka kutoka dar wilaya yoyote ,kibaha,chalinze moro,gairo tubadilishane, namba zangu za cm n 0787-935929 na 0756667637 au andika hapo chini.
 
Mwl wa sek aliye tayar kuja gairo -morogoro niende tukuyu, kyela, mboz, rungwe au njombe, kilolo, mafinga na makambako tuwacliane 0757021255
 
Mwl idara ya msingi anaetaka kuja sengerema kutoka mikoa ya Tanga/pwani/moshi ani PM.
 
Ndg Mi nipo Halmashauri Mbongwe(Bukombe) Idara ya Msingi ninahitaji kuhamia Halmashauri ya Njombe au Makambako. Namba yangu ni hii 0763053058.
 
Jamani vp mbona kimya wadau? Anayehitaji kuja manispaa ya Musoma sharti awe anatoka manispaa ya Dodoma, Morogoro na Iringa kwa aliye tayari ani pm. Mi nipo idara ya Sekondari(diploma)
 
Mwalim idara ya msingi yupo shinyanga maswa anatafuta mwalim wa kubadilishana nae katika wilaya yoyote mkoa wa Tanga alietayari ani PM ni kuunganishe nae.
 
Mimi ni Mwl idara ya msingi nipo wilaya ya Bunda mkoa wa Mara natafuta Mwl wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa Arusha wilaya yeyote,kilimanjaro au morogoro.kwa mawasiliano 0787181565
 
Idara secondari.Npo kondoa Dodoma ukihtaj kubadlshn ntafute0717 834707.UWE UNATOKA TARIME TU.
 
Mwl wa sekondar wa Rorya anataka kubadilishana na mwl kutoka songea au mbinga. Mawacliano 0764037601
 
Back
Top Bottom