Kaka wa singida njoo ukerewe
UK noma m2 wangu.
Kaka wa singida njoo ukerewe
Niko Magu idara ya sec, kwa anayefundishia wilaya za mvomero, kilosa iringa manispaa, njombe mji, mbeya jiji ani pm
Jamani vp mbona kimya wadau? Anayehitaji kuja manispaa ya Musoma sharti awe anatoka manispaa ya Dodoma, Morogoro na Iringa kwa aliye tayari ani pm. Mi nipo idara ya Sekondari(diploma)
Mwalimu idara ya msingi mkoa wa Tanga anatafuta mwalim wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka kilimanjaro au Arusha kwa anae hitaji ani PM nikupe namba zake.
unataka kuondoka au kwenda
njoo singida
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
njoo singida mwana.
Kama unaweza ni-pm.