Nitakupigia. . . .kwa dodoma, wilaya ya chamwino!Hello, nahitaji mwalimu wa kubadilishana. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nipo bunda, mara. Nataka kubadilishana na mtu ambaye yupo Manyara, Dodoma, Singida au morogoro. Wasiliana na mimi kwa Namba 0785111722 au 0764919658 au 0716959578
Kwa yeyote anaetaka kuhamia arusha, anistue!