WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

m n mwl wa sekondari npo tunduru-ruvuma. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi tokea mikoa ya mwanza, mara, simiu, geita na kagera. Wasiliana nae kwa: 0787507351.

mwana huna umjuaye wa kagera alyeko dodoma mjini aje biharamulo
 
Mimi ni mwl wa sekondari nipo Dom-Kondoa,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka wilaya yoyote ya Tabora ili aje Kondoa mi niende Tabora.!

thread yenu iko pale juu,,
 
IDARA YA SEKONDARI.

Mwl. kutoka Wilaya ya Simanjiro-Manyara,nahitaji kubadilishana kituo cha kazi na Mwl. kutoka Wilaya ya Babati (Mjini),Hai,Moshi Mjini,Arusha Mjini,Kibaha
0762666662
 
Hahahahaaaaaah....
Inafurahishakila mtu kuona anapakataa kijijini halafu anamtaka mwenzake aende..
Majangaa, majangaaa, ona majangaaaHahahahaaaaaah....
Inafurahishakila mtu kuona anapakataa kijijini halafu anamtaka mwenzake aende..
Majangaa, majangaaa, ona majangaaaaa
 
Asante mwanzishaji wa uzi huu. Vipi kuna mwalimu anataka kuhamia Mkoa wa Kagera kutoka Dar? Kama yupo anipm au call 0715 788949. Kazi njema.
 
Ww unamatatzo post zote hzo,uwez kupata m2, mim nipo dom lkn ng'o upati m2 hapa
 
Asante sana mwalimu, hata chamwino nitashukuru pia.
 
Habari za jioni wanajamvi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo wilaya ya Magu mkoani Mwanza, naomba mwalimu aliye Halmashauri yoyote mkoani Tanga ajitokeze tubadilishane kituo cha kazi. Shule niliyopo ina nyumba za kuishi, umeme na maji yapo karibu pia shule ipo kando kando ya barabara kuu iendayo Mwanza mjini na Musoma. Kwa yeyote atakaevutiwa na mazingira haya afanye mawasiliano kwa cm no. 0714673651، 0766779015 na 0713367632. Asanteni sana!
 
Nipo manispaa ya walevi,wauza unga na machangudoa kinondoni,,, nataka kwenda manispaa ya wavuta bange tmk
 
Mm ni mwl idara ya msingi nipo Bunda ,Mara natafuta mwl wa kubadilishana nae toka mkoa wa arusha,manyara,kilimanjaro au morogoro.kwa mawasiliano zaid 0787181565
 
mimi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje shinyanga manispaa mimi niende manispaa ya morogoro,idara ya msingi
 
msingi au sekondari??kutoka wapi?mimi kuna mwalimu msingi yupo shinyanga kishapu,anatakakuja arusha,pia kuna mwalim msinga yuko mara tarime anataka kuja arusha,nipe mchakato hapo,if possible ni cheki 0712872378

Msingi! nimekutumia namba yangu PM! Kazi kwako!
 
Back
Top Bottom