WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nimepangwa songea mjini naomba yeyote aliyepangwa mbeya mjini au vijijini na angependa kufanya kazi songea mjini tuwasiliane...0717 28 27 26 na 0756 56 72 82.
 
Nyie walimu hamuishi kunung'unika. Si mlikuwa mnalia lia ajira zimechelewa? Sahz mlikopangiwa hampataki tena?! Kaa Songea ww uchape kazi Tanzania ni moja hii habari ya kuhamahama ya nini wakati ndio kwaanza first appointment.
 
Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo nimepangwa Rombo nahitaji kwenda mikoa nilioyoitaja hapo juu ila kwa ngazi ya shule ya msingi namba ya ngu ni 0755648964 Na kwa wale wa sekondari wanaohitaji kwenda NSIMBO-KATAVI tuwasiliana kwa namba hiyo.
 
mimi nimepangiwa kwenda mara wilaya ya tarime natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aende mara mimi niende songea mjini
namba angu ni 0767734214/0688030057
 
nimepangwa mara-tarime nahitaji kuja mbeya mjin songea mjin mbinga moro pwan tuwasiliane idara ya sekondar no yangu ni 0767734214/0688030057
 
Habari zenu,kwa mwalimu yeyote ambaye yupo IDARA YA SEKONDARI TOKA MIKOA YA MOROGORO,IRING,AU MBEYA.naomba tubadilishane aje TABORA URAMBO. Tuwasiliane 0652583409 au 0769848539.
 
Kwa wanaoifahamu vizuri wilaya ya Moro Vijijini,naombeni uzoefu wa mazingira ya pale yakoje?
Thanks in advance!
 
Njoo Tabora nije Iringa,morogoro,mbeya,dodoma,pwani. IDARA YA SEKONDARI. 0769848539/ 0652583409
 
Idara ya sekondari. Nimepangiwa Tabora-Urambo. Kama upo MOROGORO,IRINGA,MBEYA,PWANI,DAR. Tuwasiliane 0652583406 AU 0769848539
 
mwalimu wa sekondari yupo muleba mjini kabisa anahitaji mtu wa kubadiliahana naye kutoka
tanga
morogoro
dodoma
pwani au
dar es salaam
kwa alie tayari akong'oli namba hii 0769904075, 0713330945.
 
Mwalimu(sekondari) anayetaka kuja musoma vijijini akitokea wilaya ya kahama-shinyanga anitafute kwenye 0782154914
 
Back
Top Bottom