WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

SAMAHANI WADAU
Naitwa MASOUD KAPITA
Kwa walim wa AJIRA MPYA na WA ZAMANI
ngazi
ya STASHAHADA natafuta MWALIMU wa
kubadilishana nae kituo Mimi nimepangiwa
Halmashauri ya Wilaya ya BUHIGWE-Mkoa wa
KIGOMA natafuta wa
kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka
Halmashauri yoyote iliyopo Mkoa wa TABORA,
KATAVI, GEITA, DODOMA na SINGIDA
Kwa mawasiliano piga Piga 0766786513
 
Nahtaj mwalm w kbadlshan nae m nko Muleba town idara y sekondari nahtaj mwlm alye tanga,Moro,dom,bagamoyo ama dar
mawasiliano 0713330945/0769904075!!!!!
 
Wanaotaka kwenda shinyanga, shinyanga vijijini kutoka njombe wilaya yoyote idara ya msingi, nataka kwenda NJOMBE, nitafute kwa no.0764205502 au 0788087771.
 
Anayehtaj kuja Kagera Muleba idara sec ila awe tanga,dom,Moro,bagamoyo,kubaha,dar ama Mtwara mjin anchek 0713330945/0769904075!!!!!
 
Njoo Muleba idara sec nije tanga,Moro,dom,bagamoyi,kibaha,dar au Mtwara mjn simu no 0713330945/0769904075!
 
Kwa aliyeko morogoro, kibaha, chalinze, njoo iringa Mufindi secondary, tueasiliane 0655301480
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…