ulirckymtang'ase
Member
- Mar 2, 2014
- 60
- 3
Njoo tabora uyui
Pia alieko Tanga au Pwani na angependa kwenda Tarime tuwasiliane pia kwa namba tajwa hapo juu...asanteniNina dada yangu mwalimu wa sekondari yuko Tarime anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa kilimanjaro wilaya yeyote isipokua Rombo. yeyote aliye tayari tuwasiliane kupitia 0755517076.
Nahitaji mwalimu kutoka huko Tanga abadilishane na alieko Tarime..aliye tayari tuwasiliane kupitia 0755 517076WADAU MSIKATEE TAMAA WATU WENGI WANAFANIKIWA KUPITIA HUMU MIMI WENGI WALIOFANIKIWA NAWAJUA NIKIWEPO MIMI MWENYEWE KWA KUPITIA PAGE HII YA jf NIMEMPATA MWL YEYE AKATOKA TANGA-KILINDI AKAJA RUVUMA-MBINGA mimi KWA SASA NIPO TANGA.
Hivyo nawashauri msikate tamaa kutupia matangazo yenu humu ndani kama hauwezi kuweka tangazo au umepata mtu wa kubadilisha nae na hujui utaratibu nitafute kwa kupitia na 0756231236/0689270867 nitakusaidia.
njoo moshi.