Ramadhan vitalis
Senior Member
- Feb 10, 2014
- 134
- 4
Njoo kasulu idara ya sec mm niende pwani moro au dsm #0714963829
Natafuta Mtu wa Kubadishana nae kituo cha kaz,mimi nimepangwa Same nahitaji kwenda Moshi (M) au Arusha(M) aliyeko tayari ani PM
Si unajua tena Nabii hasifiki kwao ndugu yangumkuu huko same sindo kwenu??
mbona tena wapakimbia?
Hivi inawezekana kubadili kituo hata kabla haujaripoti?
Baki huko huko ndugu! upo pamoja na mimi, twende tukapige kazi!