WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anaepafahamu Iguguno Singida angefanya fasta ni nje kidogo na Manispaa
barabara kuu ya kwenda mwanza,umeme upo na maji, kama Kange na Tanga jiji,ninatatizo binafs aliyetayar tubadilishane nirud home Korogwe,Lushoto,Handen,muheza au pangani. Simu 0684711818.
 

Njoo Tabora Kama Vp 0753705024
 
Ngoja niendelee kusubili mpango wa equip kwani naona wenyeji wa simiyu hamtaki kurudi kwenu nami nisogee na kwetu mbeya.
 

habari zenu kwa mpigo!!, nipo tabora nataka kuhamia mikoa ya kusini idara ya msingi, cal.0753705024
 
Njoo ngara kagera idara sec,niende dodoma,manyara,arusha,singida mji,arusha jiji au moshi mji
0768155226
 
Njoo Iguguno Singida
Nije Lushoto
Handeni
Korogwe
Pangani
Muheza
Tanga idara elimu msingi.Uwe karibu na Mkoa au
wilaya na huduma zote ziwepo kama hapa nilipo.pga au bp
0684 71 18 18.
 
NJOO SUMBAWANGA MUNISPAA NIJE BAGAMOYO IDARA YA SECONDARI.contact me 0683081550
 
Mwlm ambaye ni mwenyeji/anahitaji kuja GAIRO kutoka Manispaa ya MOROGORO/Manispaa ya IRINGA anichk kupitia namba 0762014861 IDARA SEKONDARI.
 
Jamani wa Kilindi-Tanga au Moshi anaetaka kwenda Serengeti mjini idara ya Msingi ani PM kuna sister anapataka
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0683 638 640
 
niko Kondoa Wilayani Mjini tubadirishane nije Tanga mjini idara ya Msingi

nichek Fasta 0787855956
 

Anae taka kuja katavi-Mpanda idara ya sec m nije Mbeya vijijin,Mbeya mjini,Iringa mjini/vijijini tuwacliane no 0653622133
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…