WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Niko simiyu bariadi mji idara ya sec. Naomba kubadilishana na Mwl.toka mwanza au sengerema. Tumia mawasiliano 0763071311
 
Hivi humu hamna wa kuja meatu-simiyu niende Busokelo,Rungwe,Kyela,Chunya,Mbozi au Momba.
idara msingi,
tutafutane kwa pm
 
Tangazo


Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari rangwi iliyopo katika wilaya ya lushoto natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka mkoa wa dar es salaam. Naomba yeyote anayekusudia kuhamia halmashauri ya wilaya ya lushoto awasiliane nami kwa namba zifuatazo:-

1) 0713 632293
2) 0715 320376

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
njoo mbeya (v) nije dodoma municipal au manyon,mby vyakula bei rahis viazi mviringo sh 2000 kwa debe! mchele kilo 850/ 900 ndizi za kutosha,mayai ya kuku wa kienyeji sh 250,fursa ya kilimo ipo,kuna border mbili tunduma na kasumulu kiujumla ni pazuri,me nahama kutokana na sababu za kifamilia kama upo tayar nicheki kwa 0652 858586 au 0764 118282
 
njoo rorya mara idara ya s/msingi nije arusha, manyara au kilimanjaro. cal 0786388710
 
NJOO TABORA NIJE DODOMA,MOROGORO,PWANI,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,MTWARA,RUKWA,RUVUMA. idara ya sekondari. 0686687221
 
jaman achen utani ww unaandika unataka kwenda sehemu fulan alafu mtu anakutumia namba zake mfanye mchakato alafu ww unasepa huwekin namba alafu bado unarudia tena kuweka tangazo lilelile wato wako serious humu.
 
jaman achen utani ww unaandika unataka kwenda sehemu fulan alafu mtu anakutumia namba zake mfanye mchakato alafu ww unasepa huwekin namba alafu bado unarudia tena kuweka tangazo lilelile wato wako serious,achen hizo.
 
Mimi ni mwl. Secondary ya kitumba magu natafuta wa kubadilishana nae, aje magu nije nyamagana mwanza
0762825501
0712240629
 
Dharau tu majitu mengine utafikili yajiumba yenyewe unatafuta kosa tu kaaaa kimya kiko kuchangia wkt ata ukimkosoa mtoa mada bado utamsaidia pumbavu
 
Nipo serious njoo singida idara elimu msingi nije lushoto,handen,pangani au korogwe tanga.contact 0684711818.
 
Njoo kasulu mjin nije babati dodoma,geita,bahi,chmwino,korogwe au muheza.sekondar
 
Back
Top Bottom