WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Kaka namba ya simu nayo siri? kwa lipi mpaka iwe siri ?
 
Njoo mtwara manispaa nije mwanza jiji, sengerema au chato. idara ya secondari. no 0752892078
 
Nipo masasi mtwara
natafuta wa kubadilishana nae tokea mikoa ya;
tanga
arusha
manyara
kilimanjaro

wilaya yeyote

0757974776
 
Njoo tabora nije dodoma(chamwino,mpwapwa,bahi,kongwa),morogoro(kilombero,kilosa,ulanga,mvomero,gailo),iringa popote,njombe popote,mbeya popote,rukwa,ruvuma. Idara ya sekondari. 0686687221
 
Njoo mbulu manyara mm nije morogoro mjini, idara ya secondari, mawasiliano 0784127593
 
Mwl SALOME IDARA MSINGI YUPO TABORA-UYUI anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka MOROGORO,BAGAMOYO,KIBAHA AU MAENEO YA MKURANGA.
Na:0756231236 au
0768601697 au
0685863933.
 
nipo ukerewe -mwanza idara sec.natafuta mwl.wa kubadilishana kutoka mbeya,iringa na njombe.0714620133
 
jaman wanajamvi habar?nko muleba- kagera idara ya sec naomba yeyote aliye mikoa ya morogoro!iringa mbeya,dodoma municipal na sumbawanga tubadilishane kwa aliyetayar tuwasiliane kwa phon no 0755049854
 
MWL nipo NEWALA mtwara idara msingi natafuta mwl wa kubadirishana kutoka Iringa Mbeya Njombe Rukwa Songea katika wilaya yoyote mikoa hiyo 0689976850
 
idara msingi.
Niko singida-Iramba(shelui) kwa mwalim kutoka popote kisarawe,mkuranga,bagamoyo,kibaha,au rufiji. Na dar es salam tuwasiliane.
 
mwalimu kutoka LINDI NACHINGWEA.anamtafuta wa kubadilisha nae kutoka KIGOMA idara Msingi kwa yeyote aliye tayar tuwasiliane. Nikuunganishe ne
 
Back
Top Bottom