WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi niko wilaya ya kibondo kigoma, natafta mwl. anayefundishia ktk halmshauri yoyote iliyoko mkoan TABORA ili yeye aje kibondo. my no. 0764671227
 
Nenda Ushetu-Kahama idara elimu msingi,Best yangu aje Mkalama Singida.Piga au bp 0684711818.
 
njoo Serengeti niende NJOMBE,RUVUMA&MORO.idara yasekondari.
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0683 638 640
 
Njoo Dodoma manispaa nije Moshi manispaa au Moshi Vijijini idara ya sekondari. Kama upo tayari 0758121353, 0717690221
 
Karibu DODOMA MANISPAA nije MOSHI MANISPAA au MOSHI VIJIJINI idara ya sekondari Kama upo tayari tuwasiliane 0758121353, 0717690221, 0684533621
 
Mimi Nipo Dodoma Manispaa idara ya sekondari natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka Moshi Manispaa au Moshi Vijijini, kama upo tayari tuwasiliane 0758121353, 0717690221, 0684533627
 
Mwalimu sekondari yuko Morogoro manispaa, kwa mwalimu yeyote kutoka Manispaa ya jiji la MWANZA. Nyamagana au Ilemela piga 0769 890339
 
Back
Top Bottom