peter wa same
Member
- Feb 1, 2014
- 58
- 7
Mtwara newala huwezi kuja@peter
dah! Nataka nijongee karibu na home ndugu yangu
Mtwara newala huwezi kuja@peter
kuna mwl anataka kuja Rukwa kutoka Kilimanjaro
npo HALMASHAUR YA BAGAMOYO idara ya sec. Natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka HALMASHAUR YA MOSH. Kwa aliye tayar tuwacliane 0784035214[/QUOTE
Njoo Mwanga ndg yangu.