WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

kuna rafiki yangu anataka aje mkoa hii kwa wilaya yeyote ile MTWARA AU LINDI yuppoo wilaya ya KIGOMA- KIGOMA kidahwe sec ni PM au nichek kwa no 0652030305/ 0883147817
 
Nipo Magu Mwanza elimu ya msingi. Mwalimu kutoka Kibaha, Mkuranga, Bagamoyo, Morogoro au DSM anicheki 0682279435
 
Idara ya sec njoo Handeni Tanga shule iko jirani na korogwe mjini hivyo unaweza kaa korogwe mjini na kufanya kazi uwe unatoka Morogoro town,chalinze,mlandizi,tanga jiji, na kibaha
 
Njoo singida municipal idara sec kutoka morogoro municipal,kibaha,mlandizi, na chalinze plz ni PM
 
kubadilishana kituo bagamoyo na kyela kuna ndugu yangu anatafuta wa kubadilshana naye please mtafute kwa namba.0785523936
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM tuwasiliane.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

njoo mbozi mbeya niende moshi 0753062637
 
Anatafutwa mwalimu wa kubadilushana kituo yeye aende sengerema mjini na ndugu yangu aje Nyamagana mwanza(jiji). Ni inbox or niPM humu.Uhamisho utashugulikiwa bila usumbufu na utasaidiwa kupangiwa shule nzuri.

Ni Shule ya msingi.
 
Njoo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma nije manispaa ya Singida idara Sekondari kwa mawasiliano piga 0765070911
 
NJOO KIGOMA WILAYA KIGOMA KIDAHWE SECNDARY NIJE MTWARA AU LINDI WILAYA YEYOTE ILE NI PM au 0652030305/ 0683417817
 
Walimu wezangu mckate tamaa mtafanikiwa, mimi nilianza juzi april na tayari barua zimekuja toka tamisem . Kimsingi kuwa na imani utafanikiwa.
 
Mimi ni mwl sekondari manispaa ya kigoma ujiji natafta mtu wa kubadilishana nae kituo yeye aje huku na mimi niende nyamagana au ilemela kama yupo tuwasiliane kupitia 0714713147 au 0788896945
 
Back
Top Bottom