WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo njombe kama upo mbeya vijijini,mbeya jiji,rungwe,busokelo,kyela,mbozi. Idara secondary
 
Jamaani watu wakigoma mbona mnaonesha mna umoja wa kupenda kwenu njoo kigoma nije mtwara au lindi nyumbani sec ni pm au ni sms 0652147817/0683030305
 
Njoo MTWARA MANISPAA nije MWANZA JIJI, SENGEREMA, MUSOMA MJINI NA BUNDA. idara secondary. 0752892078
 
Njoo MBULU-MANYARA mm nije MOROGORO MJINI idara ya sekondari mawasiliano: 0784127593
 
mim ni walimu idara ya secondary nipo tanga wilaya ya MKINGA..nahitaji kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka KIBAHA au DAR ES SALAAM wilaya yoyote..shule ipo Jirani sana na tanga mjini na ni kilomita 15 kufika shule ilipo na barabara ni ya lami..dakika 20 tu nauli 1000...kuna umeme..maji usafiri hospitali na huduma nyingine nyingi...KARIBU SANA MKINGA kwa aliye tayari...
 
Njoo mwanza sengerema,umeme,maji na samaki kwa wingi ni lisaa limoja kuingia mwanza mjini,idara ya sekondari nije moro wilaya yeyote au tanga,kisiju,bagamoyo,kibaha,kisarawe,chalinze na mkuranga. 0767292827
 
Wewe uliye Mtwara njoo wilaya ya Mbogwe makao makuu Masumbwe karb na Kahama nije Mtwara karb na Songea, ncall 0763053058
 
Njoo mwanza sengerema nije moro wilaya yeyote au pwani wilaya yeyote
idara ya sekondari 0767292827
 
npo halmashaur ya bagamoyo idara ya sec. Natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka halmashaur ya mosh. Kwa aliye tayar tuwacliane 0784035214

njoo rombo secondary usafiri upo masaa .24 mawasiliaino 0766738634
 
nipo ROMBO natafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kazi toka MKURANGA, BAGAMOYO, RUFIJI, BAGAMOYO, KISARAWE 0766738634
 
Back
Top Bottom