WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo ruvuma-namtumbo,karibu na songea mjn kama upo moro, babat au tanga na unataka kuja huku tuwasiliane
 
Njoo MBULU-MANYARA mm nije MOROGORO MJINI (idara ya sekondari) mawasiliano 0784127593
 
mimi ni mwalimu idara ya sekondary nipo kilwa mkoa wa lindi natafuta wa kubadilishana nae kutoka wilaya yoyote katika miko ya tanga, kirimanjaro, na arusha KWA ALIYE TAYARI TUWASILIANE KWA SIMU 0787421008 AU 0656041231
 
Sikonge-Tabora tubadilishane kwenda Mwanza,Tanga,Kilimanjaro,Arusha,Pwani, Dodoma ,Morogoro.intereseted PM me
 
Njoo Pwani-rufiji (sekondar) mi nije kibaha, dodoma mjn, morogoro, singida mjn, bagamoyo, Babati au manyon. Tuwacliane kuptia 0782381466
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
niko Singida halmashauri, idara Sec. kama kuna mwl. wa magu ,busega nyanguge au maeneo ya jiran anipigie
 
uliyepo Kilimanjaro wilaya yoyote, idara ya msingi, njoo TANGA~Handeni
 
Back
Top Bottom