WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu idara ya msingi anayependa kuja korogwe TANGA anicheki kwa namba 0784007393 awe anatokea MBEYA ,IRINGA,RUVUMA AU NJOMBE
 
Nipo dodoma , kongwa, mbande... Nahitaji kwenda dodoma manispaa idara sekondari ... 0757760837
 
Nipo mtwara idara msingi nitaka kwenda MBEYA, Iringa, morogoro, na njombe Rukwa Cont 0689976850
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Anayetaka KASULU kutoka bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Nipo Magu Mwanza Elimu ya msingi, kwa Mwalimu kutoka Kibaha, Mkuranga, Bagamoyo, Rufiji, Morogoro. 0682 279435
 
Njoo mtwara mjini nije mwanza jiji, sengerema au geita. idara sec. namba 0752892078, mtwara mjini kuzur ila nmemic kwetu
 
wazawa wa Mtwara Nipo Masasi Idara ya Msingi natafuta mtu wa kubadilishana kutoka wilaya yeyote za Mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO au Wilaya ya MUHEZA Tanga

Mawasiliano:
0757974776
[email protected]
 
Wakuu,hivi ni lazima mtu awe na cheti ndo apewe ajira na serikali...?provisional results haiwezi work out wakat mtu anasubria cheti?
 
Back
Top Bottom