WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo KASULU ndugu yangu aje CHATO idara ya msingi. Wasiliana nae: 0764264315
 
Nenda CHATO MJIN mdogo wangu aje DODOMA MJINI, MOROGORO MJINI au KIBAHA. Wasiliana naye; 0764264315.
 
Nipo Mtwara ninatafuta mwl wa kubadilishana idara msingi awe kutoka MBEYA wilaya yoyote au Morogoro wilaya yoyote hata Songea sio mbaya 0768948179 0689976850
 
mimi ni mwalimu idara ya msingi mwanzaa nayetaka kuja mwanza toka mikoa ya dodoma pwan dsm morgor tanga tuwasiliane kwa 0766097972
 
mimi ni mwl nipo sengerema nataka kubadilishana na mtu wa misungwi mjini nilipo kuna umeme na hudama zinapatikana
 
Njoo kilwa-lindi,,dogo aje Dar,mkuranga,kibaha....!!!!!!!!!,,idara ya sekondary
 
Mi ni mwl idara ya sekondari Nina miaka mitatu kazini natafuta mwl wa kubadilishana nae aje kaliua tabora mi nije mwanza
 
Mwalimu njoo mwakakeli sekondari iliyopo Mbeya-Busokelo mimi nije iringa mjini au iringa vijijin.
 
Niko Singida, mwl yeyote aliye Magu, Busega Tarime na maeneo ya jirani tubadilishane..
Idara Sec..
 
Ndani ya TANGA anayetaka kuja Mkinga kutoka Kilindi jiachie mi nipo.(Secondary)
 
njoo mwanza sengerema nije moro au pwani,idara ya sekondari 0767292827
 
mimi ni mwalimu idara ya sekondary nipo kilwa mkoa wa lindi natafuta wa kubadilishana nae kutoka wilaya yoyote katika miko ya tanga, kirimanjaro, na arusha KWA ALIYE TAYARI TUWASILIANE KWA SIMU 0787421008 AU 0656041231

Dah tuko pamoja hapo LIWALE. karibu tufate wa kuhamia huko hoko
 
Njoo mtwara mjini nije mwanza jiji, sengerema, chato au geita! idara secondary namba 0652620272
 
Haya sasa kazi nia kwenu walimu nyumbani ni nyumbani mkataa kwao mtumwa. Anahitajika mwalimu wa kubadishana kituo cha kazi kutoka Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Tukuyu, Busokelo, kyela,Iringa, Njombe, Morogoro, Iringa, kinondoni, chalinze, kibaha, kigamboni, manzese, mkuranga, Dodoma mjini, pwani,Tanga na Arusha kwenda Simiyu-Maswa idara secondari. Umeme upo na usafiri unapatikana. Wahi nafasi ni adimu. Kwa mwenye uhitaji anipm au anitext 0768885000. UPATAPO UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZAKO MWENYE UHITAJI. NAKUTAKIA USHIRIKIANO MWEMA.
 
Back
Top Bottom