WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ndugu mwalimu unaetaka kuhamia Mtwara idara msingi Mm nije MBEYA Iringa au Morogoro 0768948179 0689976850
 
Njoo mtwara manispaa mimi nije mwanza ilemela, nyamagana, sengerema, geita, chato. idara ya secondary, namba 0752892078
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Anayetaka KASULU kutoka
bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec
tuwacliane.
 
Kuna jamaa yangu yuko Kaliua-Tabora anahitaji mwl wa kubadirishana nae idara ya sekondari, uwe inatoka Wilaya yoyote ya Morogoro, mcheki kwa 0686948795 au ni PM
 
Ndugu wanajamvi,
Mwalimu Spicta Nurdin anayefundisha
sekondari katika manispaa ya musoma
anaomba mtu yoyote wa kubadilishana
naye anayefundisha mkoa wa Mbeya au
Iringa.
Natanguliza shukrani.
Ahsanteni.
 
Jamaa yupo LUDEWA-NJOMBE.Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wila ya MBOZI-idara ya Secondari.
Bakshishi ya TSHS:300,000/= itatolewa kwa atakayekuwa tayari.

Cont:0762 680654
 
Ndugu wanajamvi,
Mwalimu spicta nurdin anayefundisha
sekondari katika manispaa ya musoma
anaomba mtu yoyote wa kubadilishana
naye anayefundisha mkoa wa mbeya au
iringa.
Natanguliza shukrani.
Ahsanteni.
 
Tubadilishane Wilaya ndani ya Mkoa wa Tanga: Njoo mkinga mi nije Muheza,Tanga jiji ama korogwe! Nicheki now!
 
Mwalimu happy wa bumbuli idara msingi natafuta mtu wakubadilishana nae atoke almashauri za bagamoyo kibaha mkuranga kinondoni ilala temeke alie Tayar ani pm
 
Idara sec.nipo Mwanza - ukerewe nahitaji kubadilishana na Mwl kutoka mbeya,Iringa na njombe.mawasiliano 0714620133
 
Mwalimu spicta nurdin anayefundisha
sekondari katika manispaa ya musoma
anaomba mtu yoyote wa kubadilishana
naye anayefundisha mkoa wa mbeya au
iringa.
 
Back
Top Bottom