WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

kuna rafiki yangu yuko TANGA. anayetaka kwenda TANGA-kilindi kutoka MOROGORO wilaya yoyote. awasiliane nae 0768142527.
 
Nipo TANGA, KILINDI Nataka wa kubadirishana naye kutoka MOROGORO wilaya yoyote ile nicheki kwa 0768142527
 
Ndugu wana JF. Naomba kujuzwa kuhusu uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu wa sekondari kwa mujibu wa STANDING ORDERS. Je mwalimu anakwenda kwenye kituo anachotoka mwenziwe au anapelekwa kwenye kituo kingine? Nawasilisha.
 
Yeyote kutoka kagera,mwanza,kahama,musoma na anataka kuhamia songea ani-pm, vile vile wa dom anayetaka kuja chato/biharamulo wanipm.
 
Nipo bukoba mjini nahitaji wa kubadilishana nae awe sumbawanga mjini au songea mjn. Kwa mawasiliano zaidi.
 
natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo, mimi nipo

wilaya ya moshi vijijin, nataka kuhamia wilaya ya bukoba vijijin, misenyi au manispaa ya bukoba-0752 788 444


Ni pm ufanikishe fasta . Usiache kuni pm please.
 
Nipo Magu idara ya Elimu ya Msingi. Natafuta mwl. Wa kubadilishana nae kutoka manispaa ya Kibaha, mkuranga, Morogoro, na manispaa yoyote ya mkoa wa Dsm.
 
Mi nipo manyara wilaya ya babati natafuta wa kubadilishana naye aliyeko simanjiro au klm mawasiliano 0782424370,(secondr
 
Jamani msikate tamaa pana watu wamefanikiwa japo hawarudi kutoa feedback,just do it
 
nipo mwanza nansio ukerewe natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka dodoma municpal idara ya sec
 
Jamani bado natafuta mwalimu wa kubadilishana idara ya sekondar kutoka mikoa ya SINGIDA na MANYARA Mimi nipo MBINGA mkoa wa RUVUMA.contacts 0765070911
 
Back
Top Bottom