Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 413
- 178
Bila kusahau atakaye biharamulo from chamwino dodom plz ni pm
Kwa Mwl Anayetaka Kuja Kufundisha Sekondari Manispaa Ya Singida Mi Niende Kufundisha Mbeya Mjini Au Tukuyu
Nitakupigia. . . .kwa dodoma, wilaya ya chamwino!
msikate tamaa ndugu, mimi kupitia utaratibu huu nimepata mtu wa kubadilishana nae. Mimi natoka mwanga, kilimanjaro na nabadilishana na mtu kutoka wilaya ya bagamoyo. Tumekubaliana kufanya michakato ya kubadilishana mwezi wa pili mwakani. So niwatake ndugu msichoke mtafanikiwa tu.
Msikate tamaa ndugu, mimi kupitia utaratibu huu nimepata mtu wa kubadilishana nae. Mimi natoka Mwanga, Kilimanjaro na nabadilishana na mtu kutoka wilaya ya Bagamoyo. Tumekubaliana kufanya michakato ya kubadilishana mwezi wa pili mwakani. So niwatake ndugu msichoke mtafanikiwa tu.
Mwambie aje moro!Dada angu anatafuta pia mwalimu wa kuhamia Mwaza wilaya ya misungwi yeye anataka kuja Kibaha nichek kwa PM
Nina ndugu yangu yupo Sengerema Idara ya Msingi kama kuna mtu yupo Singida Manispaa na angependa kwenda Sengerema antupie mawasiliano yake tuchekiane Ani PM au ancheki kwa 0717078618
Ok hanspolkuna mtu nimempa namba yako atakucheki....