njoo biharamulo hadi musoma ni karibu
Niko Magu idara ya sec, kwa anayefundishia wilaya za mvomero, kilosa iringa manispaa, njombe mji, mbeya jiji ani pm
Mi Nipo dodoma Nataka kuhamia morogoro
mwl.anayehitaji kuja singida halmashauri,mi niende magu,ilemela,nyamagana,misungwi au maeneo ya jirani.
Idara-sekondari.
E-m,,[email protected] au
ni-pm. Nta-reply rapidly.
Dodoma wilaya gani na idara gan?
Kwa alie seriazi na kuhama plz ni inbox namba zako za simu nikupe utaratibu wote mzima.