naomba process ulivofanya had hatua ya mwisho ikiwezekana naomba contact zako nisaidien jaman.ci2 tumefikia hatua ya kujibiwa na wakurugenz na kuandikiwa barua wote wawil kua kuna nafas lkn bada ya hapo hatua gan inafuata
Njoo moro gairo nije njombe, iringa, mboz, tukuyu, mbey v, mafinga, songea, namtumbo au kyela
Aje singida.
idara gan?sek au,mi sek.
jamani walimu kwa nini hamtupi fedback kwa walio fanikiwa kupata watu wa kubadilishana nao?
Mimi nimepata wa kubadilishana nae na tumeshakamilisha taratibu zote ngazi ya wilaya tunasubiri mkoani.
Nashauri walimu msikate tamaa hapa msaada upo.
Nawatakia kila la kheri
nipo songea nicheki kwa na 0756231236 nikuunganishe na mwl mwenzio facta muda umeisha.